National Anthem
Kiswahili
1
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
2
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda .
3
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani.
English
1
O God of all creation
Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.
2
Let one and all arise
With hearts both strong and true
Service be our earnest endeavour
And our homeland of Kenya
Heritage of splendour
Firm may we stand to defend.
3
Let all with one accord
In common bond united
Build this our nation together
And the glory of Kenya
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving